Samahani - Sehemu hii tu ya Kiingereza | Kijerumani
| Kihispania. |
|
VTrain ni nini?
VTrain ni program ya kuelimisha ambayo inaweza kukusaidia kukumbuka kitu
chochote haraka.
VTrain inakuuliza maswali (mf. "Unasemaje neno hili kwa Kiingereza?", nk.), na inapanga maswali katika
ngazi ngumu.
|
|
|
Kwa namna hii unaweza kuchagua kama unataka kurudia taarifa unayoijua vizuri, au kujikita kwenye taarifa ndefu.
Hii itakuokolea muda mwingi sana na kufanya kujifunza kwako kuwe kwa furaha na makini zaidi.
VTrain ni hariri yenye nguvu na uwezo wa kuwa katika vihabarishi vingi aina aina (Multimedia).
Lugha gani unataka kujifunza?
Tunatoa mafaili ya misamiati ya bure ya Lugha zaidi ya 40 unazoweza kujifunza
kwa VTrain.
MAFAILI YA MISAMIATI
YA BURE ... »
Unahitaji kukusanya maneno mageni kutoka katika nyaraka
na mitandao? |
|
Jaribu Clip2VTrain, program ya bure
ambayo inafanya uteuzi wa misamiati na nukuu uwe rahisi zaidi. |
|
|
|
Ukurasa huu kwa...
Leseni za bure kwa shule...
Tuzo:
|